1 Wakorintho 16:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Makanisa ya Asia wawasalimu. Akila na Priska wawasalimu sana katika Bwana, pamoja na kanisa lililoko ndani ya nyumba yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni. Akula na Priska pamoja na watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika kuungana na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni. Akula na Priska pamoja na watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika kuungana na Bwana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Makanisa yote ya Asia yanawasalimuni. Akula na Priska pamoja na watu wote wa Mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika kuungana na Bwana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Makundi ya waumini wa jimbo la Asia wanawasalimu. Akila na Prisila pamoja na kundi la waumini walioko nyumbani mwao wanawasalimu sana katika Bwana Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Makundi ya waumini ya Asia yanawasalimu. Akila na Prisila, pamoja na kundi la waumini lililoko nyumbani kwao, wanawasalimu sana katika Bwana Isa. Tazama sura |