Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wakorintho 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

9 Maana mimi ni mdogo katika mitume, nisiyestahili kuitwa mitume, kwa sababu nililiudhi kanisa la Mungu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume, na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Kwa maana mimi ndiye mdogo kuliko mitume wote, nisiyestahili kuitwa mtume, kwa sababu niliwatesa waumini wa Mungu.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 15:9
12 Marejeleo ya Msalaba  

Sauli akaliharibu kanisa, akiingia kila nyumba, na kuwaburuta wanaume na wanawake na kuwatupa gerezani.

Msiwakoseshe Wayahudi wala Wagiriki wala kanisa la Mungu,

Maana nadhani ya kuwa mimi sikupungukiwa na kitu walicho nacho mitume walio wakuu.

Nimekuwa mpumbavu, ninyi mmenilazimisha. Maana ilinipasa nisifiwe na ninyi; kwa sababu sikuwa duni ya mitume walio wakuu kwa lolote, nijapokuwa si kitu.

Maana mmesikia habari za mwenendo wangu zamani katika dini ya Kiyahudi, kwamba nililitesa kanisa la Mungu kupita kiasi, nikaliharibu.

ila wamesikia tu ya kwamba huyo aliyetutesa hapo kwanza, sasa anaihubiri imani ile aliyoiharibu zamani.

kwa habari ya juhudi, mwenye kuliudhi kanisa, kwa habari ya haki ipatikanayo kwa sheria sikuwa na hatia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo