1 Wakorintho 15:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Ndugu zangu, nisemayo ni haya, ya kuwa nyama na damu haziwezi kuurithi ufalme wa Mungu; wala uharibifu kurithi kutoharibika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Basi, ndugu, nasema hivi: Kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Basi, ndugu, nasema hivi: Kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Basi, ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa Mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Ndugu zangu nisemalo ni hili: mwili na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Ndugu zangu nisemalo ni hili: nyama na damu haviwezi kuurithi ufalme wa Mwenyezi Mungu, wala kuharibika kurithi kutokuharibika. Tazama sura |