1 Wakorintho 15:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Kuna fahari moja ya jua, na fahari nyingine ya mwezi, na fahari nyingine ya nyota; maana iko tofauti ya fahari hata kati ya nyota na nyota. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Uko uzuri wa jua, wa mwezi na wa nyota; hata nyota nazo huhitilafiana kwa uzuri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Jua lina fahari ya aina moja, mwezi nao una fahari yake na nyota pia, nazo nyota hutofautiana katika fahari. Tazama sura |