1 Wakorintho 15:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Maana sharti amiliki yeye, hata awaweke adui zake wote chini ya miguu yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Maana Kristo sharti atawale mpaka Mungu atakapowashinda maadui zake wote na kuwaweka chini ya miguu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kwa maana lazima Al-Masihi atawale hadi awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kwa maana lazima Al-Masihi atawale mpaka awe amewaweka adui zake wote chini ya miguu yake. Tazama sura |