Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wakorintho 15:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

21 Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo hivyo nako kufufuka kutoka kwa wafu kumesababishwa na mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo hivyo nako kufufuka kutoka kwa wafu kumesababishwa na mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Maana kama vile kifo kilivyoletwa duniani na mtu mmoja, vivyo hivyo nako kufufuka kutoka kwa wafu kumesababishwa na mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa maana kama vile mauti ilivyokuja kupitia kwa mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kupitia kwa mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa maana kama vile mauti ilivyokuja kwa njia ya mtu mmoja, vivyo hivyo, ufufuo wa wafu umekuja kwa njia ya mtu mmoja.

Tazama sura Nakili

1 Wakorintho 15:21
4 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, hata akifa, atakuwa anaishi;

Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.

Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo