1 Wakorintho 14:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Ufuatilieni upendo, na kutaka sana karama za rohoni, lakini zaidi kwamba mpate kutoa unabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Jitahidini kuwa na upendo. Vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Fuateni upendo na kutaka sana karama za roho, hasa karama ya unabii. Tazama sura |