1 Wakorintho 13:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 hafurahii uovu, bali hufurahia ukweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Upendo haufurahii mabaya bali hufurahi pamoja na kweli. Tazama sura |