1 Wakorintho 13:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Mwenye upendo huvumilia, hufadhili; mwenye upendo hana wivu, hajidai, wala hajivuni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Upendo huvumilia, upendo hufadhili, upendo hauoni wivu, hauna majivuno, hauna kiburi. Tazama sura |
ila wakakataa kutii, wala hawakuyakumbuka maajabu yako, uliyoyafanya kati yao; lakini wakafanya shingo zao kuwa ngumu, na katika kuasi kwao wakaweka jemadari, ili wairudie hali ya utumwa; lakini wewe u Mungu, uliye tayari kusamehe, mwenye neema, mwenye huruma nyingi, si mwepesi wa hasira, u mwingi wa rehema, basi hukuwaacha.