1 Wakorintho 13:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 lakini ijapo ile iliyo kamili, iliyo kwa sehemu itabatilika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Lakini kile kilicho kikamilifu kitakapofika, vyote visivyo vikamilifu vitatoweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Lakini ukamilifu ukija, yale yasiyo kamili hutoweka. Tazama sura |