1 Wakorintho 12:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana mtu mmoja kwa Roho apewa neno la hekima; na mwingine neno la maarifa, apendavyo Roho yeye yule; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu, apendavyo Roho huyohuyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu, apendavyo Roho huyohuyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Roho humpa mmoja ujumbe wa hekima, na mwingine ujumbe wa elimu, apendavyo Roho huyohuyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Maana mtu mmoja kwa Roho hupewa neno la hekima na mwingine neno la maarifa kwa Roho huyo huyo. Tazama sura |