1 Wakorintho 12:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa kufaidiana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kila mtu hupewa mwangaza wa Roho kwa faida ya wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho wa Mungu kwa faida ya wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Basi kila mmoja hupewa ufunuo wa Roho kwa faida ya wote. Tazama sura |