1 Wakorintho 12:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 Wote wana karama za kuponya wagonjwa? Wote wanena kwa lugha? Wote wafasiri? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Je, wote ni wenye kipaji cha kuponya? Je, wote ni wenye kipaji cha kusema lugha ngeni? Je, wote hufafanua lugha? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Je, wote wana karama ya kuponya? Je, wote hunena kwa lugha mpya? Je, wote wanatafsiri? Tazama sura |