1 Wakorintho 11:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Mwanamume hakutoka kwa mwanamke, ila mwanamke alitoka kwa mwanamume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. Tazama sura |