1 Wakorintho 11:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Basi mnapokutanika pamoja haiwezekani kula chakula cha Bwana; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Kweli mnakutana, lakini si kwa ajili ya kula Karamu ya Bwana! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mkutanikapo pamoja si Chakula cha Bwana Isa mnachokula, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mkutanikapo pamoja si chakula cha Bwana Isa mnachokula, Tazama sura |