1 Wakorintho 11:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Je! Hayo maumbile yenyewe hayawafundishi ya kwamba mwanamume akiwa na nywele ndefu ni aibu kwake? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hata maumbile yenyewe huonesha wazi kwamba kwa mwanamume kuwa na nywele ndefu ni aibu kwake mwenyewe; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Je, maumbile ya asili hayatufundishi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu? Tazama sura |