1 Wakorintho 10:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Wala tusimjaribu Bwana, kama wengine wao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Tusimjaribu Bwana kama baadhi yao walivyomjaribu, wakauawa na nyoka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Wala tusimjaribu Al-Masihi, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka. Tazama sura |