1 Wakorintho 10:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC10 Wala msinung'unike, kama wengine wao walivyonung'unika, wakauawa na mharibifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Wala msinungunike kama baadhi yao walivyonungunika, wakaangamizwa na Mwangamizi! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Wala msinungunike kama baadhi yao walivyonungunika, wakaangamizwa na Mwangamizi! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Wala msinung'unike kama baadhi yao walivyonung'unika, wakaangamizwa na Mwangamizi! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Msinung’unike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na malaika mharibifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Msinung’unike kama baadhi yao walivyofanya, wakaangamizwa na mharabu. Tazama sura |