Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wakorintho 1:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Basi, kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Mwenye kutaka kujivuna, na ajivunie kazi ya Bwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Mwenyezi Mungu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana Mwenyezi.”

Tazama sura Nakili




1 Wakorintho 1:31
13 Marejeleo ya Msalaba  

Jisifuni kwa jina lake takatifu; Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.


Nanyi semeni, Ee Mungu wa wokovu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa, Tulishukuru jina lako takatifu, Tuzifanyie shangwe sifa zako.


Jisifuni kwa jina lake takatifu, Na ufurahi moyo wao wamtafutao BWANA.


Katika BWANA nafsi yangu itajisifu, Wanyenyekevu wasikie na kufurahi.


Utawapepeta, na upepo utawapeperusha; upepo wa kisulisuli utawatawanya; nawe utamfurahia BWANA, utajitukuza katika Mtakatifu wa Israeli.


Katika BWANA wazao wote wa Israeli watapewa haki, na kutukuka.


nawe utaapa hivi, Kama BWANA aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watabarikiwa na yeye, nao watajitukuza katika yeye.


Kwa maana ikiwa Abrahamu alihesabiwa haki kwa ajili ya matendo yake, analo la kujisifia; lakini si mbele za Mungu.


Basi ndugu, mambo hayo nimeyafanya kuwa mfano wa mimi na Apolo kwa ajili yenu, ili kwamba kwa mfano wetu mpate kujifunza kutokupita yale yaliyoandikwa; ili mmoja wenu asijivune kwa ajili ya huyu, kinyume cha mwenziwe.


Lakini, Yeye ajisifuye, na ajisifu katika Bwana.


Maana sisi tu tohara, tumwabuduo Mungu kwa Roho, na kuona fahari juu ya Kristo Yesu, wala hatuutumainii mwili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo