1 Wafalme 9:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Wakafika Ofiri, wakachukua toka huko dhahabu, talanta mia nne na ishirini, wakamletea mfalme Sulemani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Walisafiri kwenda nchi ya Ofiri, na kuchukua toka huko dhahabu, wakamletea mfalme Solomoni kadiri ya kilo 14,000. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wakasafiri kwa bahari hadi Ofiri na kurudi na talanta mia nne na ishirini (420) za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Sulemani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Sulemani. Tazama sura |