Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 9:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Tena, mfalme Sulemani akaunda merikebu huko Ezion-geberi, ulioko karibu na Elothi, pwani ya Bahari ya Shamu, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mfalme Solomoni aliunda merikebu nyingi huko Esion-geberi, karibu na Elothi iliyo pwani ya Bahari ya Shamu, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mfalme Solomoni aliunda merikebu nyingi huko Esion-geberi, karibu na Elothi iliyo pwani ya Bahari ya Shamu, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mfalme Solomoni aliunda merikebu nyingi huko Esion-geberi, karibu na Elothi iliyo pwani ya Bahari ya Shamu, katika nchi ya Edomu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Mfalme Sulemani pia akatengeneza meli huko Esion-Geberi, iliyo karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Mfalme Sulemani pia akatengeneza pia meli huko Esion-Geberi, ambayo iko karibu na Elathi katika Edomu, kwenye ukingo wa Bahari ya Shamu.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 9:26
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa mfalme alikuwa na merikebu za Tarshishi baharini pamoja na merikebu za Hiramu; mara moja katika miaka mitatu huja merikebu za Tarshishi, zikileta dhahabu, na fedha, na pembe, na nyani, na tausi.


Yehoshafati akafanya merikebu za Tarshishi ziende Ofiri kuchukua dhahabu; lakini hazikuenda; kwa maana merikebu zilivunjika huko Esion-geberi.


Ndipo Ahazia mwana wa Ahabu akamwambia Yehoshafati, Watumishi wangu na waende pamoja na watumishi wako merikebuni. Lakini Yehoshafati hakukubali.


Huyo akajenga Elathi, akaurudisha kwa Yuda, baada ya kulala mfalme pamoja na babaze.


Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.


Wakasafiri kutoka Abrona, wakapiga kambi Esion-geberi.


Basi tukapita kando yao ndugu zetu wana wa Esau, waishio Seiri kutoka njia ya Araba, kutoka Elathi na kutoka Esion-geberi. Tukageuka tukapita njia ya bara ya Moabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo