1 Wafalme 9:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 watoto wao waliosalia baada yao katika nchi, ambao wana wa Israeli hawakuweza kuwaharibu kabisa, katika hao Sulemani akawatumikisha shokoa hata leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 pamoja na wazawa wao ambao Waisraeli hawakuweza kuwaangamiza kabisa, Solomoni aliwafanyiza kazi za kulazimishwa hata leo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawakuwaangamiza kabisa, Sulemani akawalazimisha kuwa shokoa, kama ilivyo hadi leo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 yaani, wazao wao waliobakia katika nchi, ambao Waisraeli hawangeweza kuwaangamiza kabisa: hawa Sulemani akawalazimisha kuwa watumwa katika shokoa, kama ilivyo hadi leo. Tazama sura |