Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 9:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Hiramu alikuwa amemletea mfalme talanta mia moja na ishirini za dhahabu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Hiramu alikuwa amempelekea mfalme Solomoni dhahabu kilo 3,600.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta mia moja na ishirini za dhahabu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Basi Hiramu alikuwa amempelekea mfalme talanta 120 za dhahabu.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 9:14
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi akampa mfalme talanta za dhahabu mia moja na ishirini, na manukato mengi, mengi sana, na vito vya thamani; wala haukuja tena wingi wa manukato, kama hayo malkia wa Sheba aliyompa mfalme Sulemani.


Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita,


Na vyombo vyote vya kunywea vya mfalme Sulemani vilikuwa vya dhahabu, na vyombo vyote vya nyumba ya msitu wa Lebanoni vilikuwa vya dhahabu iliyosafika; hakuna vya fedha, fedha haikuhesabiwa kuwa kitu siku za Sulemani.


(basi Hiramu, mfalme wa Tiro, alikuwa amemletea Sulemani mierezi na miberoshi, na dhahabu, sawasawa na haja zake zote), ndipo mfalme Sulemani akampa Hiramu miji ishirini ya nchi ya Galilaya.


Wakafika Ofiri, wakachukua toka huko dhahabu, talanta mia nne na ishirini, wakamletea mfalme Sulemani.


na mimi, je! Haikunipasa kuuhurumia Ninawi, mji ule mkubwa; ambao ndani yake wamo watu zaidi ya elfu mia moja na ishirini, wasioweza kupambanua katika mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto; tena wamo wanyama wa kufugwa wengi sana?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo