1 Wafalme 8:57 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC57 BWANA, Mungu wetu, na akae nasi, kama alivyokaa na baba zetu; asituache, wala asitutupe; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema57 Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, awe nasi, kama alivyokuwa na babu zetu; tunaomba asituache, wala asitutupe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND57 Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, awe nasi, kama alivyokuwa na babu zetu; tunaomba asituache, wala asitutupe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza57 Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, awe nasi, kama alivyokuwa na babu zetu; tunaomba asituache, wala asitutupe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu57 Mwenyezi Mungu, Mungu wetu, na awe pamoja nasi kama alivyokuwa na baba zetu, kamwe asituache wala kutukataa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu57 bwana Mwenyezi Mungu wetu na awe pamoja nasi kama alivyokuwa na baba zetu, kamwe asituache wala kutukataa. Tazama sura |