1 Wafalme 7:48 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC48 Sulemani akavitengeneza vyombo vyote vilivyokuwamo nyumbani mwa BWANA; madhabahu ya dhahabu, na ile meza iliyokuwa na mikate ya wonyesho juu yake ilikuwa ya dhahabu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Solomoni alitengeneza vifaa vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu: Madhabahu ya dhahabu, meza ya dhahabu kwa ajili ya mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Solomoni alitengeneza vifaa vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu: Madhabahu ya dhahabu, meza ya dhahabu kwa ajili ya mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Solomoni alitengeneza vifaa vyote vilivyokuwa katika nyumba ya Mwenyezi-Mungu: madhabahu ya dhahabu, meza ya dhahabu kwa ajili ya mikate ya kuwekwa mbele ya Mungu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Sulemani pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la Mwenyezi Mungu: madhabahu ya dhahabu; meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonesho; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Sulemani pia akatengeneza samani zote zilizokuwa ndani ya Hekalu la bwana: madhabahu ya dhahabu; meza ya dhahabu za kuweka mikate ya Wonyesho; Tazama sura |