Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 7:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 Kulikuwa na mataruma manne katika pembe nne za kitako kimoja; mataruma hayo ni kitu kimoja na kitako chenyewe.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Chini ya kila gari kulikuwa na mihimili minne kwenye pembe zake, nayo ilishikamanishwa na gari.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kila kitako kilikuwa na mikono minne, moja kwenye kila pembe, ukichomoza kutoka kile kitako.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kila kitako kilikuwa na mikono minne, moja kwenye kila pembe, ukitokeza kutoka kwenye kitako.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 7:34
3 Marejeleo ya Msalaba  

Kila kitako kilikuwa na magurudumu manne ya shaba, na vipini vya shaba; na miguu yake minne ilikuwa na mataruma; chini ya birika yalikuwako mataruma ya kusubu, yenye masongo kila moja mbavuni.


Na kazi ya magurudumu ilikuwa kama kazi ya gurudumu la gari; mikono yake, na maduara, na matindi, na vipande vya ndani, vyote vilikuwa vya kusubu.


Na juu ya kitako kulikuwa na duara nusu mkono kwenda juu kwake; na juu ya kitako mashikio yake na papi zake vilikuwa vya namna iyo hiyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo