1 Wafalme 7:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Kulikuwa na nyavu kama kazi ya kusuka, na masongo ya mikufu, kwa mataji yaliyokuwako juu ya vichwa vya nguzo; saba kwa taji moja, na saba kwa taji la pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: Vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: Vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Halafu, alifuma nyavu mbili zenye mapambo ya mrabamraba, akatengeneza na taji kwa kusokota mkufu: vyote hivyo kwa ajili ya kupamba taji za shaba zilizowekwa juu ya zile nguzo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Wavu wa mikufu iliyosokotewa kwenye zile taji juu ya zile nguzo, saba kwa kila taji. Tazama sura |