Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 6:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

37 Katika mwaka wa nne nyumba ya BWANA ilitiwa msingi, katika mwezi wa Zivu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Msingi wa nyumba ya Mwenyezi-Mungu ulijengwa mnamo mwezi wa Zifu katika mwaka wa nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Msingi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Msingi wa Hekalu la bwana uliwekwa katika mwaka wa nne, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa tano.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 6:37
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa katika mwaka wa mia nne na themanini baada ya wana wa Israeli kutoka nchini Misri, katika mwaka wa nne wa kutawala kwake Sulemani juu ya Israeli, katika mwezi wa Zivu, ndio mwezi wa pili, akaanza kuijenga nyumba ya BWANA.


Na katika mwaka wa kumi na mmoja, katika mwezi wa Buli, ndio mwezi wa nane, nyumba ikaisha, mambo yake yote, kulingana na kanuni zote. Basi muda wa miaka saba alikuwa katika kuijenga.


Ikawa Sulemani alipokwisha kuijenga nyumba ya BWANA, na nyumba ya mfalme, na mambo yote yaliyoingia moyoni mwake Sulemani, naye akataka kuyafanya,


Ikawa miaka ishirini ilipopita, ambayo katika hiyo Sulemani alizijenga zile nyumba mbili, nyumba ya BWANA na nyumba yake mfalme,


Akaanza kujenga siku ya pili ya mwezi wa pili katika mwaka wa nne wa kutawala kwake.


Basi ikatengenezwa kazi yote ya Sulemani hata siku ya kutiwa msingi wa nyumba ya BWANA, na hata ilipokwisha. Hivyo ikamalizika nyumba ya BWANA.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo