1 Wafalme 6:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Akaijengea behewa ya ndani safu tatu za mawe ya kuchongwa, na safu moja ya mihimili ya mierezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Alijenga ukumbi wa ndani ambao kuta zake zilikuwa za tabaka tatu za mawe yaliyochongwa, na tabaka moja la boriti za mwerezi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa, na safu moja ya boriti za mwerezi zilizosawazishwa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Tena akajenga ua wa ndani safu tatu za mawe yaliyochongwa na safu moja ya boriti za mierezi zilizorembwa. Tazama sura |