1 Wafalme 6:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kiumbe mwingine alikuwa na urefu wa mita 4.5; viumbe wote wawili walikuwa na vipimo vilevile na umbo lilelile. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, kwa kuwa makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kerubi wa pili alikuwa na urefu wa dhiraa kumi pia, hivyo makerubi hao wawili walifanana kwa vipimo na kwa umbo. Tazama sura |