Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 6:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Na bawa moja la kerubi lilikuwa mikono mitano urefu wake, na bawa la pili la kerubi mikono mitano; mikono kumi toka mwisho wa bawa moja hata mwisho wa bawa la pili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kila bawa lilikuwa na urefu wa mita 2.5; kwa hiyo urefu kutoka ncha ya bawa moja mpaka ncha ya bawa lingine ulikuwa mita 4.5.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kila bawa lilikuwa na urefu wa mita 2.5; kwa hiyo urefu kutoka ncha ya bawa moja mpaka ncha ya bawa lingine ulikuwa mita 4.5.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kila bawa lilikuwa na urefu wa mita 2.5; kwa hiyo urefu kutoka ncha ya bawa moja mpaka ncha ya bawa lingine ulikuwa mita 4.5.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa dhiraa tano na bawa jingine dhiraa tano, hivyo urefu kutoka ncha ya bawa moja hadi ncha ya bawa jingine ulikuwa dhiraa kumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Bawa moja la kerubi wa kwanza lilikuwa na urefu wa dhiraa tano na bawa jingine dhiraa tano, hivyo urefu kutoka ncha ya bawa moja hadi ncha ya bawa jingine ulikuwa dhiraa kumi.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 6:24
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akafanya ndani ya chumba cha ndani makerubi mawili ya mzeituni, kwenda juu mikono kumi.

Na kerubi la pili lilikuwa mikono kumi; makerubi yote mawili walikuwa ya cheo kimoja na namna moja.

Juu yake walisimama maserafi; kila mmoja alikuwa na mabawa sita; kwa mawili alifunika uso wake, na kwa mawili alifunika miguu yake, na kwa mawili aliruka.

Na kila mmoja alikuwa na nyuso nne, na kila mmoja alikuwa na mabawa manne.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo