1 Wafalme 6:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Nami nitakaa katikati ya wana wa Israeli, wala sitawaacha watu wangu Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mimi nitakaa miongoni mwa wazawa wa Israeli, na sitawaacha kamwe watu wangu, Israeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mimi nitakaa miongoni mwa wazawa wa Israeli, na sitawaacha kamwe watu wangu, Israeli.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mimi nitakaa miongoni mwa wazawa wa Israeli, na sitawaacha kamwe watu wangu, Israeli.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Nami nitakaa miongoni mwa Waisraeli, nami sitawaacha watu wangu Israeli.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Nami nitakaa miongoni mwa Waisraeli, nami sitawaacha watu wangu Israeli.” Tazama sura |