1 Wafalme 5:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Mfalme Sulemani akakusanya kutoka kila mahali katika Israeli watu wa shokoa nao walikuwa elfu thelathini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mfalme Solomoni alikusanya watu 30,000 kutoka kila mahali nchini Israeli, wafanye kazi za kulazimishwa, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mfalme Sulemani akakusanya wafanyakazi elfu thelathini kutoka Israeli yote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mfalme Sulemani akakusanya wafanyakazi 30,000 kutoka Israeli yote. Tazama sura |