1 Wafalme 5:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 BWANA akampa Sulemani hekima, kama alivyomwahidia. Ikawa amani kati yao Hiramu na Sulemani; wakafanya mikataba kati yao wawili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Basi, Mwenyezi-Mungu akampa Solomoni hekima kama alivyomwahidi. Kukawa na amani kati ya Solomoni na Hiramu; wakafanya mkataba kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Basi, Mwenyezi-Mungu akampa Solomoni hekima kama alivyomwahidi. Kukawa na amani kati ya Solomoni na Hiramu; wakafanya mkataba kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Basi, Mwenyezi-Mungu akampa Solomoni hekima kama alivyomwahidi. Kukawa na amani kati ya Solomoni na Hiramu; wakafanya mkataba kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Mwenyezi Mungu akampa Sulemani hekima, kama alivyomwahidi. Palikuwa na uhusiano wa amani kati ya Hiramu na Sulemani, na wote wawili wakafanya mkataba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 bwana akampa Sulemani hekima, kama alivyomwahidi. Palikuwepo na uhusiano wa amani kati ya Hiramu na Sulemani, na wote wawili wakafanya mkataba. Tazama sura |