1 Wafalme 4:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Naye akanena mifano elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Alitunga methali 3,000 na nyimbo 1,500. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Akanena mithali elfu tatu, na nyimbo zake zilikuwa elfu moja na tano (1,005). Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Akanena mithali 3,000 na nyimbo zake zilikuwa 1,005. Tazama sura |