1 Wafalme 4:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Mungu akampa Sulemani hekima, na akili nyingi sana, na moyo mkuu, kama mchanga ulioko pwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Mungu alimpa Solomoni hekima zaidi na akili kwa wingi; maarifa yake yalikuwa kama mchanga wa pwani, hayakuwa na kipimo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Mungu alimpa Solomoni hekima zaidi na akili kwa wingi; maarifa yake yalikuwa kama mchanga wa pwani, hayakuwa na kipimo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Mungu alimpa Solomoni hekima zaidi na akili kwa wingi; maarifa yake yalikuwa kama mchanga wa pwani, hayakuwa na kipimo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Mungu akampa Sulemani hekima na akili kubwa, pia ufahamu mpana usiopimika kama mchanga ulioko pwani ya bahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Mungu akampa Sulemani hekima na akili kubwa, pia ufahamu mpana usiopimika kama mchanga ulioko pwani ya bahari. Tazama sura |