Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 4:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Tena Sulemani alikuwa na mabanda ya farasi elfu arubaini kwa magari yake, na wapandao farasi elfu kumi na mbili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Solomoni alikuwa na vibanda 40,000 kwa ajili ya farasi wa magari yake ya kukokotwa, na askari wapandafarasi 12,000.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Sulemani alikuwa na mabanda elfu nne ya magari ya vita, na farasi elfu kumi na mbili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Sulemani alikuwa na mabanda 4,000 ya magari ya vita, na farasi 12,000.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 4:26
8 Marejeleo ya Msalaba  

Daudi akampokonya wapanda farasi elfu moja na mia saba na askari waliokwenda kwa miguu elfu ishirini; Daudi akawakata mshipa farasi wote wa magari, ila farasi wa magari mia moja akawabakiza.


Na maofisa wale wakaleta chakula kwa mfalme Sulemani na kwa wote walioijia meza ya mfalme Sulemani, kila mtu katika mwezi wake, kisipunguke kitu.


na miji yote ya hazina iliyokuwa yake Sulemani; na miji ya magari yake, na miji ya watu wake wapandao farasi, na kila alichopenda kujenga Sulemani huko Yerusalemu, na katika Lebanoni, na katika nchi yote ya mamlaka yake.


Sulemani akakusanya magari na wapandao farasi; naye alikuwa na magari elfu moja na mia nne, na wapandao farasi elfu kumi na mbili, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu.


Sulemani akawa na mazizi ya farasi na magari elfu nne, na wapandao farasi elfu kumi na mbili, aliowaweka katika miji ya magari, na pamoja na mfalme huko Yerusalemu.


Hawa wanataja magari na hawa farasi, Lakini sisi tutalitaja jina la BWANA, Mungu wetu.


Ila asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa BWANA amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo