1 Wafalme 4:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Na vyakula vya Sulemani vya siku moja vilikuwa kori thelathini za unga mzuri, na kori sitini za ngano, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Chakula alichohitaji Solomoni kwa siku moja, kilikuwa unga laini madebe 360, na unga wa kawaida madebe 720, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Chakula alichohitaji Solomoni kwa siku moja, kilikuwa unga laini madebe 360, na unga wa kawaida madebe 720, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Chakula alichohitaji Solomoni kwa siku moja, kilikuwa unga laini madebe 360, na unga wa kawaida madebe 720, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mahitaji ya Sulemani ya kila siku yalikuwa kori thelathini za unga laini, kori sitini za unga wa kawaida. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Mahitaji ya Sulemani ya kila siku yalikuwa kori thelathini za unga laini, kori sitini za unga wa kawaida. Tazama sura |