Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 3:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

23 Ndipo mfalme akasema, Huyu anasema, Mtoto wangu yu hai, na mtoto wako amekufa. Na huyu anasema, Sivyo hivyo; bali mtoto aliyekufa ni wako, na mtoto aliye hai ni wangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Ndipo mfalme Solomoni akasema, “Kila mmoja wenu anadai kwamba, mtoto wake ndiye aliye hai na kwamba aliyekufa si wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Ndipo mfalme Solomoni akasema, “Kila mmoja wenu anadai kwamba, mtoto wake ndiye aliye hai na kwamba aliyekufa si wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Ndipo mfalme Solomoni akasema, “Kila mmoja wenu anadai kwamba, mtoto wake ndiye aliye hai na kwamba aliyekufa si wake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Mfalme akasema, “Huyu anasema, ‘Mwanangu ndiye aliye hai, na aliyekufa ndiye mwanao,’ maadamu yule anasema, ‘Hapana! Aliyekufa ni wako, na aliye hai ni wangu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Mfalme akasema, “Huyu anasema, ‘Mwanangu ndiye aliye hai, na aliyekufa ndiye mwanao,’ maadamu yule anasema, ‘Hapana! Aliyekufa ni wako, na aliye hai ni wangu.’ ”

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 3:23
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo yule mwanamke wa pili akasema, Sivyo hivyo; bali mtoto wangu ndiye aliye hai, na mtoto wako ndiye aliyekufa. Na mwenzake akasema, Sivyo hivyo; bali mtoto wako ndiye aliyekufa, na mtoto wangu ndiye aliye hai. Ndivyo walivyosema mbele ya mfalme.

Mfalme akasema, Nileteeni upanga. Wakaleta upanga mbele ya mfalme.

Moyo wa mwenye haki hufikiri jinsi atakavyojibu; Bali kinywa cha wasio haki humwaga mabaya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo