1 Wafalme 3:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Na mtoto wa mwanamke huyu akafa usiku, maana alimlalia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Halafu, usiku mmoja, mtoto wake alifariki kwa sababu alimlalia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 “Usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 “Wakati wa usiku mwana wa huyu mwanamke akafa kwa sababu alimlalia. Tazama sura |