Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 3:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Na mwanamke mmoja akasema, Ee bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunakaa katika nyumba moja; nami nilizaa nilipokuwa pamoja naye nyumbani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mmoja wao akasema, “Ee bwana wangu, mimi na huyu mwenzangu tunakaa nyumba moja; mimi nilijifungua mtoto wakati huyu dada yumo nyumbani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mmoja wao akasema, “Bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunaishi kwenye nyumba moja. Nilikuwa nimezaa alipokuwa pamoja nami.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mmojawapo akasema, “Bwana wangu, mimi na mwanamke huyu tunaishi kwenye nyumba moja. Nilikuwa nimezaa alipokuwa pamoja nami.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 3:17
4 Marejeleo ya Msalaba  

Wakamwambia, Tazama, bwana, kweli tulishuka mara ya kwanza ili tununue chakula.

Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake.

Kisha, siku ya tatu baada ya kuzaa kwangu, ikawa mwanamke huyu naye akazaa; na sisi tulikuwa pamoja; hapakuwa na mtu mwingine pamoja nasi nyumbani, isipokuwa sisi wawili tu.

Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo