1 Wafalme 3:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Ndipo wanawake wawili, makahaba, walimwendea mfalme, wakasimama mbele yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Siku moja, wanawake wawili makahaba, walikwenda kwa mfalme Solomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi wanawake wawili makahaba walikuja kwa mfalme na kusimama mbele yake. Tazama sura |