1 Wafalme 22:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Lakini Yehoshafati akasema, Je! Hayupo hapa nabii mwingine wa BWANA, ili tumwulize yeye? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Lakini, Yehoshafati akasema, “Je, hapa hakuna nabii mwingine wa Mwenyezi-Mungu ambaye twaweza kumwuliza shauri?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa Mwenyezi Mungu hapa ambaye tunaweza kumuuliza?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Lakini Yehoshafati akauliza, “Je, hayuko nabii wa bwana hapa ambaye tunaweza kumuuliza?” Tazama sura |