1 Wafalme 22:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Yehoshafati akamwambia mfalme wa Israeli, Uulize leo, nakusihi, kwa neno la BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha Yehoshafati aliendelea kumwambia mfalme wa Israeli: “Lakini, kwanza mwulize Mwenyezi-Mungu ushauri.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta ushauri wa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini Yehoshafati pia akamwambia mfalme wa Israeli, “Kwanza tafuta shauri la bwana.” Tazama sura |