1 Wafalme 22:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC36 Ikapigwa mbiu jeshini, jua likichwa, kusema, Kila mtu aende mjini kwake, na kila mtu shambani kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Mnamo machweo ya jua, amri ikatolewa: “Kila mtu arudi mjini kwake; kila mtu arudi nchini kwake!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Mnamo machweo ya jua, amri ikatolewa: “Kila mtu arudi mjini kwake; kila mtu arudi nchini kwake!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Mnamo machweo ya jua, amri ikatolewa: “Kila mtu arudi mjini kwake; kila mtu arudi nchini kwake!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Jua lilipokuwa linazama, mbiu ikaenea katika jeshi lote: “Kila mtu aende mjini kwake, na kila mtu shambani kwake!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Jua lilipokuwa linazama, mbiu ikaenea katika jeshi lote: “Kila mtu aende mjini kwake, na kila mtu shambani kwake!” Tazama sura |