Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 21:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Neno la BWANA likaja kwa Eliya Mtishbi, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Basi, ujumbe huu wa Mwenyezi-Mungu ukamjia Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Ndipo neno la Mwenyezi Mungu lilipomjia Ilya Mtishbi kusema,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Ndipo neno la bwana lilipomjia Ilya Mtishbi kusema,

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 21:28
3 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, Ahabu alipoyasikia maneno hayo, akayararua mavazi yake, akavaa magunia mwilini mwake, akafunga, akajilaza juu ya magunia, akaenda kwa upole.


Huoni jinsi Ahabu alivyojidhili mbele yangu? Basi kwa sababu amejidhili mbele yangu, sitayaleta yale mabaya katika siku zake; ila katika siku za mwanawe nitayaleta mabaya hayo juu ya nyumba yake.


Naye BWANA alipoona ya kwamba wamejinyenyekeza, neno la BWANA likamjia Shemaya, kusema, Wamejinyenyekeza; sitawaharibu; lakini nitawapa wokovu punde, wala ghadhabu yangu haitamwagika juu ya Yerusalemu kwa mkono wa Shishaki.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo