1 Wafalme 21:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 (Lakini hapakuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza atende maovu machoni pa BWANA ambaye Yezebeli mkewe alimchochea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 (Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 (Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 (Hakuna mtu aliyenuia kutenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu kama Ahabu, ambaye alishawishiwa na Yezebeli, mkewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 (Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni pa Mwenyezi Mungu, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 (Hapajapata kamwe kuwa na mtu kama Ahabu, aliyejiuza mwenyewe kutenda uovu machoni mwa bwana, akiwa anachochewa na Yezebeli mkewe. Tazama sura |