1 Wafalme 21:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC24 Mtu wa nyumba ya Ahabu afaye mjini, mbwa watamla, na yeye afaye mashambani ndege wa angani watamla. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Naam, yeyote wa jamaa yake atakayefia mjini, mbwa watamla; na yeyote atakayefia shambani, ndege wa angani watamla.’” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 “Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 “Mbwa watawala wale wa nyumba ya Ahabu watakaofia mjini, nao wale watakaofia mashambani wataliwa na ndege wa angani.” Tazama sura |