1 Wafalme 21:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 Tena BWANA alinena habari za Yezebeli, akisema, Mbwa watamla Yezebeli katika kiwanja cha Yezreeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Tena, Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya Yezebeli: ‘Mbwa wataula mwili wa Yezebeli humuhumu mjini Yezreeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 “Pia Mwenyezi Mungu anasema kumhusu Yezebeli: ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 “Pia kwa habari ya Yezebeli bwana anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’ Tazama sura |