Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 21:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

17 Neno la BWANA likamjia Eliya Mtishbi, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Basi, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia nabii Elia wa Tishbe:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Kisha neno la Mwenyezi Mungu likamjia Ilya Mtishbi, kusema:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Kisha neno la bwana likamjia Ilya, Mtishbi:

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 21:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa Ahabu aliposikia ya kwamba Nabothi amekufa, akaondoka, aliteremkie shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli, ili alitamalaki.


Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko alikoshukia ili alitamalaki.


Lakini malaika wa BWANA akamwambia Eliya Mtishbi, Ondoka, uende ukaonane na wale wajumbe wa mfalme wa Samaria, ukawaambie, Je! Ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israeli, hata mnakwenda kuuliza kwa Baal-zebubu, mungu wa Ekroni?


Akamwambia, Je! Moyo wangu haukuenda na wewe, hapo alipogeuka yule mtu katika gari ili akulaki? Je! Huu ndio wakati wa kupokea fedha, na kupokea mavazi, na mashamba ya mizeituni, na mizabibu, na kondoo, na ng'ombe, na watumwa, na wajakazi?


Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.


Kwa maana, tazama, BWANA anakuja kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao duniani, kwa sababu ya uovu wao; ardhi nayo itafunua damu yake, wala haitawafunika tena watu wake waliouawa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo